Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Makongo, Dar Es Salaam


✍🏿Nyumba nzuri sana Inauzwa Ina HATI MILIKI
✍🏿Ni nyumba ya pili kutoka lami
✍🏿 location MAKONGO
✍🏿Bei million 100 (maongezi yapo kidogo)
✍🏿Ina vyumba vitatu vyote ni masterbedrooms, sebule kubwa na dinning na JIKO
✍🏿Ukubwa wa Eneo SQMT 400