Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mandewa, Singida


🏠 *NYUMBA INAUZWA - MANDEWA, SINGIDA*
Unatafuta nyumba ya kisasa, ipo sehemu tulivu na huduma zote muhimu?
✔️ Vyumba 3 (1 Master)
✔️ Sebule, Jiko, Dinning & Stoo
✔️ Maji na Umeme vipo tayari
✔️ Karibu na Hospitali ya Mandewa
✔️ Ukuta wa uzio tayari kwa sehemu kubwa
💰 Bei: *Milioni 35*
📞 Wasiliana: *0658 128 485*
🛑 Hii ni nyumba ya kuhamia moja kwa moja!
👇
*#NyumbaInauzwaSingida #DalaliSingida #NyumbaMandewa #RealEstateTanzania #NyumbaMpya PropertySingida*








