Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


**NYUMBA INAUZWA β TZS MILIONI 47 (MAONGEZI YAPO)**
π *MBEZI CHUO CHA SAINT JOSEPH* - Dar es Salaam, Tanzania
β Vyumba vitatu vya kulala (kimoja ni master)
β Sebule
β Chumba cha kulia (Dining room)
β Jiko
β Choo cha umma
β Ukubwa wa kiwanja: 400 sqm
π Pia kuna servant quarter yenye vyumba vitatu; ukizimalizia, unaweza kuweka wapangaji.
π *Hati ya mauziano* (Sales agreement) kutoka serikali za mitaa. Kiwanja kimepimwa, na hati miliki itatoka kwa jina la mteja atakayenunua.
π§ Maji safi (Dawasco) na umeme vipo kwenye nyumba.
π Nyumba ipo mtaa mzuri sana, umbali wa mita 900 tu kutoka Morogoro Road (Chuo cha Saint Joseph).
**Visitation fee: TZS 30,000**
0614130017 whatsap
0788156493
0760053111