Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







:
NYUMBA KUBWA YA KISASA INAUZWA
PAMOJA NA SERVANT COTER YAKE YA CHUMBA MASTER NA SEBULE BEI NI MILIONI 90 MAONGEZI YAPO
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PUBLIC TOILET
UKUBWA WA KIWANJA UPANA METERS 25 NA UREFU NI METERS 30 ( METERS 25/30)
DOCUMENTS:- MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
BEI YA KUUZWA NI MILIONI 90 MAONGEZI YAPO
NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 NA KUTOKA MPIGI ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30 NDUGU MTEJA
0716 776247
0754 221168