Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA MBEZI MALAMBA MAWILI BARABARA IENDAYO KINYELEZI 🇹🇿 DAKIKA 2 KUTOKA LAMI
Ina Vyumba VITATU Kimoja Master, Sitting& Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Bei : 60 Million Maongezi yapo
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Hi sio yakukosa tajiri nyumba ipo karibu sana nabarabara ya Lami
Ukishuka kwenye bajaji
Unatembea dakika 2 umefika kwenye nyumba
BEI MILIONI 60 MAONGEZI YAPO KARIBU
0746 433 854