Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA BINAFSI
IPO MBEZI MAKABE DAR ES SALAAM TANZANIA
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO CHA PUBLIC
UKUBWA WA KIWANJA SQM 500 PAMEPIMWA KUPITIA URASIMISHAJI
NYUMBA IKO MITA CHACHE MNO TOKA MAIN ROAD YA MAKABE
BEI MILLION 65 MAONGEZI
SITE VISIT FEE 30k
TUWASILIANE 0746 433 854