Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


#NYUMBA_ INAUZWA#
MAHALI MBEZI BEACH MAKONDE
UKUBWA ENEO SQM 650
BEI YA KUUZA ML 140
Maongezi yapo
SIFA: Ina vyumba vitatu vya kulala master sebule dinning jiko pamoja na jiko la nje
Nk nyumba imenyooka Aina kipengele labda uje nacho wewe kipengele mwenye nyumba yupo hapo hapo
KWA MAELEZO ZAIDI
dalalimbezibeach_salasala
Call/whatsp
0692406639
Fanya kazi na dalali Aliye Sajiriwa
Epuka matapeli 🙏



















