Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam







NYUMBA INAUZWA KALI YA KISASA
NYUMBA IPO MBWENI MOGA WILAYA YA KINONDONI
ENEO UKUBWA SQM 500
NYUMBA INA VYUMBA 3 NA 2 NI MASTER NA KIMOJA SINGLE
JIKO KUBWA
STOO KUBWA
SEHEMU YA KULIA CHAKULA SAFI
SEBULE KUBWA SANA
NYUMBA YA TATU KUTOKA LAMI KUBWA
NYUMBA HII TUNAKUWEKEA NA FULL FURNITURE BURE
NYUMBA INA HATI YA WIZARA YA ARDHI SAFI KABISA
NJOO UWEKEZE KWENYE ARDHI
BEI YAKE INAANZA NA 265ml TU LAKINI INAPUNGUA SANA
NIPIGIE O745010009