Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mindu, Morogoro


NYUMBA YA VYUMBA 3,KIWANJA EKA MOJA,TSHS.35 MILIONI, MINDU/MOROGORO.
Hii nyumba inaangalia Barabara kuu inayoelekea IRINGA.
Vyumba 3(Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Eneo zuri na tulivu.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Wahi ukague na ufanya maamuzi mapema.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548.
_________________
















