Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Sinza, Dar Es Salaam


#Repost dalalimastertz
...
Nyumba Nzuri Sana Inauzwa
Mahali: Sinza
Bei: Milioni 220
☑️Karibu Sana Na Lami
☑️Sqm 288
☑️Vyumba 3, Kimoja Ni Master, Sebule, Dining, Jiko & Choo
☑️Nyuma Kuna Boycota Ghorofa
☑️Hati Miliki Ya Wizara
☑️Unaweza Kuifanyia Ukarabati Ukaipangisha
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Whatsapp: 0653669171...0785999641
Viwanja Na Ofisi Vinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏