Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata, Dar Es Salaam







NYUMBA INATAZAMA BARABARA YA LAMI INAUZWA (MIL 69) TABATA KISUKULU MAJI CHUMVI KWA MAKONDA KWA NIABA YA BANK
Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa ( Eneo Limerasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 750
Mark : Kituo Kwa Makonda Maji Chumvi Road
Bei : 69 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
☎️0625 637254 ☎️ 0788 077337



















