Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA HII YA KISASA INAUZWA TABATA KINYEREZI MWISHO INAJITEGEMEA KWENYE FENCE DAR ES SALAAM-TANZANIA
BEI: 135 MILLION #maongeziyapo
SERVICES CHARGE: 30,000
๐LOCATION: TABATA KINYEREZI MWISHO
๐UMBALI NI DAKIKA 4 KUTOKA KINYEREZI MWISHO STEND
๐WILAYA YA ILALA
UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 500
UMILIKI-NI NYARAKA ZA SERIKALI ZA MTAA
SIFA ZAKE ๐
๐INA VYUMBA 3 VYA KULALA
๐1 MASTER BEDROOM
๐SEBULE
๐DINNING ROOM
๐JIKO MAKABATI
๐STOO
๐PUBLIC TOILET
๐MAJI DAWASCO
๐MAJI KISIMA
๐PEVING BLOCK
๐RESERVE WATER TANK
KWA MAWASILIANO ZAIDI karibuni sana
0746 433 854