Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI SANA INAPANGISHWA 
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI (STAND ALONE)
___________
LOCATION: BUNJU 'B' - Njia ya Mabwepande.
___________
Nyumba ina  Vyumba 2 vya kulala, Chumba 1 Master,  Sebure, Dinning, Jiko, Stoo na Public Toilet.
KODI: Tsh. 300,000/=Kwa Mwezi X 6
___________
Service Charge: Tsh.20,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788




















