Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


450,000/= Miezi 4 Kwa hiyo Bei Unaiachaje Kwa Mfano hembu fanya kuwahi tumalizane
NYUMBA MPYAAA KABISA
✔️Vyumba viwili kimoja master
✔️Sebule Kubwa
✔️Jiko Kubwa
Public Toilet
HIZI NYUMBA NI NZURI JAMANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
GOBA ROAD NJIA PANDA YA MAKABE
DK 5 TU UMEFIKA
MAWASILIANO
O677370515