Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam







İNAPANGİSHWA MBEZİ MWİSHO NJİA YA GOBA, NJİAPANDA YA MAKABE KM 1.3 AU BODA 1000. NYUMBA MPYAA KABİSA
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko
Choo cha familia
Parking
Maji na Umeme mita yako
Hapa zipo 3 tu na zote mpyaaa
__
Kodi 400,000/= × 4 TU
Dalali mwezi 1
_
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
_
PİGA SİMU