Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kibaha, Pwani


APARMENT YA KISASA INAPANGISHWA
MAHALI KIBAHA PICHA YA NDEGE
UMBAL KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala,Chumba kimoja ni Master,Sebule ya kisasa, Public toilet,Dinning Room,Jiko,Stoo
Zipo nyumba mbili ndani ya fence moja
Kodi 250,000x3, 4,5....
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
☎️ #0757208653