Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kiluvya, Pwani







NYUMBA INAPANGISHWA KILUVYA MADUKANI/MPAKANI 
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet 
Kodi 200,000 kwa mwezi × 3
Umbali dakika 3 kwa mguu kutoka lami 
Inajitegemea yenyewe kila kitu parking ipo fence hakuna
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
O753454167




















