Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
SIFA ZA NYUMBA
================
VYUMBA 2 VYA KULALA, VYOTE MASTER BEDROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
ZIKO 2 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE KUBWA SANA
NYUMBA IKO UMBALI WA KM1, BAJAJI, DALADALA, NOAH, TAX700/=
KODI NI 350,000/= KWA MWEZI
_____________________________
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT