Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO BAJAJI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE FENSI MOJA NDIO IPO WAZI
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS MAZINGIRA MAZURI SANA
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPIA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















