Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







400,000X6. DK 2. KUTOKALAMI 0759151524
APARTIMENTY KALI SANA INAPANGISHWA IPO SUCA MBUZI ON LINE UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 2TUU KWAMIGUU
MUUNDO WAKE
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR INASEBULE INA JIKO NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
HII NYUMBA ANDAGRAUND JUU MWENYENYUMBA CHINI MPANGAJI USHEI CHOCHOTE NA MWENYENYUMBA KILA MTU NA GETI LAKI
KODI 400 X 6
KUONA NYUMBA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343