Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE FENSI ISIYO LAZA GARI MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LA NJE LAENYE KABATI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING HAKUNA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
0715949085