Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet njee
Maji yana flow
Aina fence
------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
--------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















