Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI NZURI KUBWA INA PANGISHWA 
KODI 300,000X6 
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA 
SEBULE KUBWA SANA 
JIKO KUBWA LA MAKABATI 
CHOO CHA FAMILIA CHA NDANI 
HAKUNA MASTER 
LOCATION: KIMARA STOP OVER 
UMBALI KM 1 BODA 1000
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK 
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI 
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI 
UKILIPIA INAPIGWA RANGI YOTE NA SERVICE NDOGO KUMALIZIWA 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA 0659336751 wsp 0786085637




















