Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







320,000 x6. KIMARA STOPOVER
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA STOP OVER
UMBALI KM 1 .5
Ipondani ya fence parking kubwa sana
-➖➖➖➖➖➖➖➖
Seble kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala kimoja master
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/
Kodi 320,000/=×6
--------
Nb hii nyumba itajuwa wazi th 06 /07/2025
Ila kuangalia na kulipa luksaa
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 320,000
CONTACT US:-
0716223412
0618976024