Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri sana kali
Location kimara temboni km 2 usafiri upo bajaji na boda
Kodi 300000 kwa mwezi na dalali mwezi mmoja Service charge 15000 kuona nyumba
Sifa za nyumba
Room 2 za kulala hakuna master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space fency
Angalizo nyumba haina master ina Public toilet tu
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128