Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000 × 6) KIMARA BARUTI
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 8 Tu Kutoka Kwenye Barabara ya Lami
============
• VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA WAPO MASTER
• SEBULE KUBWA
• JIKO KUBWA
• PUBLIC TOILET
• STOO
Nyumba ipo ndani ya Fensi Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani
Tsh. 400,000 Malipo Miezi 6
Survey Charge ni 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300