Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMWENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO #KIMARA_TEMBONI KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI DKK (8) KUTEMBEA KWAMIGUU UITAJI BODA AU BAJAJI KUFIKA NYUMBANI
JINSI ILIVYO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA SANA
#KIMOJA MASTAR
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA FULL MAKABATI NA
#PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
MAJI YANATOKA JIKONI NA VYOONI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NDANI YA FENSI NYUMBA MBILI USHEI CHOCHOTE , NI FENSI TU,
FULL PEVING BLOCK
KODI 400,000/ X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343