Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


STEND ALONE INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2
Vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri inajitegea yenyewe Kwenye fence mafundi wapo kazin
BEI YA PANGO NI 350,000 X 6
--------------------------------------------
USAFIRI BAJAJI ZIPO SH 700K BODABODA SH 1500
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347