Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA KOROGWE DK 3 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 
➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 10/07/2025
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2VIWLI  VYA KULALA
#CHOO CHAKE KINA MILANGO 2 WA CHUMBANI NA SEBLENI
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15 
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















