Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 × 4,5,6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗨𝗞𝗔
HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPOUND MOJA KATI YA IZO MOJA IKO WAZI
VYUMBA VIWILI (2) VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA LENYE KABATI
PUBLIC TOILET
PAVING BLOCKS NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
UMEME INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA DAWASA NDANI
IPO KIMARA SUKA DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI
NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4,5,6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300