Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 350X3 KIMARA STOP OVER
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA SANA
PUBLIC TOILET
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
UMBALI KM 1.5
UMEME WAKO MAJI YAKO
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747