Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 350000 K X6
APATIMENTI ZIPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 1 POINT 5
USAGIRI BAJAJI 700
BODA BODA 1000 TU
SIFA ZA NYUMBA
ZINA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE JIKO
CHOO CHA
PABILIKI
ZIPO NYUMBA NNE KWENYE FENSI MOJA
UMEME MAJI KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
NYUMBA MPYA
GALAMA ZA KULELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
#0710614924
#0688653940