Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 × 6) #KIMARA_MWISHO
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPOUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#PUBLIC TOILET
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MILETER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO KLM I.7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BAJAJI/700 UKISHUKA TU DK 5 TU UPO GETINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300