Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 300K MALIPO MIEZI X 6
APARTMENT KWENYE FENCI ZIPO [2]
LOCATION KIMARA KOROGWE 👉 KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM 2
SIFA ZAKE
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
SEBULE WASTAN
JIKO
TOILET BUPLICE NDANI
❌️AKUNA MASTER CHUMBA
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
BALABALA YA GARI RAFIKI KWA GARI ZOTE
KODI 300,000 MALIPO MIEZI X 6
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝