Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 4 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BIKU NA HII MOJA ITAKUWA WAZI TAR 1.1.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa open kitchen
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum.
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
---------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏