Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 300K X6
KODI LAKI TATU MALIPO YA MIEZI SITA
LOCATION.
KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM HAKUNA UZIO ILA MAZINGIRA TULIVU NA USALAMA WA KUTOSHA
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027