Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 450000X4/5/6
NYUMBA YA KUPANGA STENDI ALONI
-------------
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI MITA 600 HADI KWENYE NYUMBA
---------
KUTEMBEA KWA MGUU DAKIKA 7
BODA BODA 1000
-----------
BARABARA INAFIKIKA MUDA HOHOTE
----------
MAJI DAWASKO
UMEME WAKE
-------------
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA JIKO SEBULE
CHOO NI PABLIC
AINA MASTA
-----------
NYUMBA NI MPYA KUKAMILIKA MPAKA TAREHE 10 MWEZI WA SITA UNARUSIWA KUONA NA KULIPA
========
GARAMA KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
###0655256419