Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATMENT INA PANGISHWA KIMARA STOP OVER
KODI 350,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LA MAKABATI
CHOO CHA FAMILIA
HII YA CHINI NDO IPO WAZI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 1 AU DAKIKA 10-15 KWA MGUU
NYUMBA INA FULL AC
NA MAFENI VYUMBANI
IPO NDANI YA FENSI PAKING KUBWA SANA
MAJI YANA TILILIKA NDANI
NDUGU MTEJA NYUMBA HII UKILIPIA INAFANYIWA UKARABATI WA RANGI NA VINGINE UTAKABIDHIWA NYUMBA IKIWA MPYAA KABISA
KWENDA KUONA NYUMBA SERVICE CHURGE NI 15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
======
Cont
0683234124
0718367179



















