Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA
LOCATION KIMARA TEMBONI PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO
KODI 250,000X3x4x5x6
UMBALI KM 3
USAFIRI BAJAJI 1000
DALA DALA 700
SIFA YA NYUMBA
NI VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA NA JIKO KUBWA
TOILET PUBLIC YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
KONYESHWA NYUMBA TSH 15000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258