Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT 4 KWENYE COMPOUND MOJA
NA ZIMEKAA MBALI MBALI
MOJA IPO WAZI
KODI NI 900,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION KIMARA KOROGWE KM 1 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA #SEBULE KUBWA SANA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA NA PUBLIC TOILET NZURI SANA KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI FULL GARDEN MAZINGIRA MAZUR SANA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670
0788296797