Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 400K X 8
KODI LAKI NNE MALIPO YA MIEZI NANE
NYUMBA HII NZURI IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA UKISHUKA UNATEMBEA DK 6
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#INAFUNGWA A.C
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO MAZINGIRA MAZURI SANA
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347