Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







220,000/= KIMARA SUKA
APARTMENTS İNAPANGİSHWA KİMARA SUKA HAPA USHİNDWE WEWE MTEJA
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko kubwa la nguvu
Parking
Mazingira safii mnooo
Choo cha familia
Umbali KM 1.2
Beba hera tajir
Maji wawili Umeme mita yako
Kodi 220,000/= × 6 TU
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
PİGA SİMUUU 0659336751 wsp 0786085637