Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA IPO WAZI MAFUNDI WAPO KWENYE MABORESHO
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#CHOO CHA WAGENI
#JIKO ZURI LA KISASA LA NJE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YANAWEKWA ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING HAKUNA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085