Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000X6)KIMARA MWISHO 2KM BAJAJI 700
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO 
=======================
*VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI 
*ZIKO NYUMBA 4 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA 
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700 
*KODI 250,000/= KWA MWEZI 
______________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 
=======================
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
______________________________



















