Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X6) KIMARA TEMBONI 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA
PUBLIC TOILET NDANI
JIKO ZURI
IPO NDANI YA FENCE [ NDIO INAJENGWA FENCE MAFUNDI WAPO KAZINI]
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 250,000 X 6
➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024