Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#0742260844 =0657384670
APARTMENT NZURI KUBWA SANA INA PANGISHWA
LOCATION:KIMARA STOP OVER
SIFA ZA NYUMBA
================
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LENYE MAKABATI
BARABARA YA ZEGE HADI NYUMBANI
KODI 300,000X6
NYUMBA INAWEKWA VIOO
UTAKUWA TIYALI KUINGIA TARE 1.6.2025
MAFUNDI WAPO KAZINI MASAA 24
IPO NDANI YA FENSI PAVING BLOCK TOYALI
MAJI YANA FLOW NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670