Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APATMENT INA PANGISHWA #KIMARA_STOP_OVER
#KODI 350,000X6
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO LA MAKABATI
#CHOO CHA FAMILIA
HII YA CHINI NDO IPO WAZI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 1 AU DAKIKA 10-15 KWA MGUU
NYUMBA INA FULL AC
NA MAFENI VYUMBANI
IPO NDANI YA FENSI PAKING KUBWA SANA
MAJI YANA TILILIKA NDANI
NDUGU MTEJA NYUMBA HII UKILIPIA INAFANYIWA UKARABATI WA RANGI NA VINGINE UTAKABIDHIWA NYUMBA IKIWA MPYAA KABISA
KWENDA KUONA NYUMBA SERVICE CHURGE NI 20000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















