Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 × 5,6) KIMARA TEMBONI PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO
NYUMBA KUBWA NZURI SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA
KODI 250,000 × 5,6
SEHEMU: KIMARA TEMBON
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LA KISASA
CHOO CHA FAMILIA
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
UMEME LUKU YAKO
UMBALI KM 2
DALADALA 500
BAJAJI 1000
BARABARA SAFI HADI KWENYE NYUMBA
KUNA CAUTION MONEY YA KULINDA NYUMBA YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI
Contact:
0654101710
0787205300