Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







——
APARTMENT NZURI YA KISASA NAIFAULISHA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA OPEN KITCHEN
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 27000K X 6
DALALI 270,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/=
________________
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 TUU
BILA KUSAHAU PESA YA DALALI SHILINGI LAKI 2 NA ELFU 30 PAMOJA NA SERVICE CHARGE SHILINGI ELFU 15
🏘️APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 10000
_____________________'
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747