Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


.. APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X6
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- #KIMARA STOP OVER KWA MIGUU DK 15
APART YA KISASA
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA ZIPO TATU KWENYE FANCE MOJA
______
YENYE:-
Vyumba Viwili vya kulala, kimoja Mastar. SEBLE KUBWA Jiko kubwa.lenye makabati
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows #Umeme upo wa #Luku yake unajitegemea #Maji yapo ya #bomba #24hrs unajitegeme
UMBALI WA DK 15MIGUU PIKIPIKI SH 1000
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347